tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya jikoni
  4. Kifua na Friji za kina
  5. Double Door Kifua na Friji za kina
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
6 maoni

TCL Top Mount Double Door Refrigerator 181L / Friji La TCL Milango 2

+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Uwezo wa Lita 181 (181 Liters Capacity): Saizi nzuri ya katikati, haichukui nafasi kubwa jikoni na inatosha kabisa matumizi ya familia au ofisini. ​Muundo wa Kawaida (Top Mount Freezer): Freezer ipo juu kwa ajili ya kugandisha nyama/barafu haraka, na sehemu ya chiller ipo chini. ​Rangi ya Kisasa (Dark Grey / Matte Black Finish): Muonekano wa kifahari sana unaoendana na jikoni za kisasa. ​Energy Rating Sticker (Inaokoa Umeme): Ina lebo ya matumizi mazuri ya umeme inayohakikisha haili umeme mkubwa. ​Brand Maarufu Duniani (TCL): TCL ni mtengenezaji mkuu na mshirika wa kimataifa (Worldwide Partner) anayejulikana kwa uimara. ​Inafaa Nyumbani na Ofisini: Ni chaguo bora kwa familia ndogo na za kati, wanaoishi kwenye apartment, au matumizi ya ofisini.
TCL Top Mount Double Door Refrigerator 181L / Friji La TCL Milango 2TCL Top Mount Double Door Refrigerator 181L / Friji La TCL Milango 2TCL Top Mount Double Door Refrigerator 181L / Friji La TCL Milango 2
TSh 630,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif