Super Kenwood 2-in-1 Electric Blender (Model: SK-3326UJ)
1/3
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
3 maoni
Super Kenwood 2-in-1 Electric Blender (Model: SK-3326UJ)
Blenda za matunda
Aina
Chapa Mpya
Hali
Kenwood
Chapa
Nyingine
Aina ya Blenda
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Rahisisha maisha jikoni kwa super kenwood 2-in-1 blender!
unatafuta blender imara, yenye nguvu na isiyovunjika kwa ajili ya kutengeneza juisi safi na kusaga viungo vya jikoni? super kenwood sk-3326uj ndio jibu lako sahihi!
unbreakable jar: mtungi imara usiovunjika kirahisi.
500w heavy duty motor: nguvu kubwa ya kusaga kila kitu kwa sekunde chache.
1.5 litre capacity: ukubwa unaotoshana na mahitaji ya familia.
2-in-1 combo: inakuja na grinder ndogo ya viungo.
2 years warranty: unanunua ukiwa na amani ya nafsi!