Multifunctional Movable Stand / Special Base for Washing Machine
1/3
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
4 maoni
Multifunctional Movable Stand / Special Base for Washing Machine
+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Inayoweza Kurekebishwa Ukubwa (Size Adjustable): Inaweza kupanuliwa au kupunguzwa kulingana na ukubwa wa kifaa chako (hadi 90cm x 90cm).
Magurudumu yenye Lock (Brake Wheels): Ni rahisi kuisogeza mahali popote, na ina breki za kuifunga ili kifaa chako kipotekee na kisitingishe au kusogea kikiwa kwenye kazi.
Ufungaji Mwepesi (Easy Installation): Haihitaji vifaa tata vya ufundi, inafungwa kwa urahisi ndani ya dakika 5 tu!
Inalinda Vifaa Vyako: Inainua kifaa chako juu kutoka sakafuni na kukiepusha na maji, unyevu, na kutu yanayoweza kuharibu injini au bati.
Matumizi Yanayojirudia (Multipurpose): Inafaa kwa ajili ya Frigi, Freezer, Washing Machine, au makabati madogo.