tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya jikoni
  4. Friji
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
8 maoni

Mr Uk Non Frost Fridge With Capacity of 247 L

+1
Friji
Aina
Fedha
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Mr UK
Chapa
Umeme
Chanzo cha Nguvu
Friza ya Chini
Aina ya jokofu
2
Idadi ya milango
6
Idadi ya Shelves
Chuma cha Pua
Vifaa ama nyenzo
Bila Dispensa
Mahali pa Dispensa ya Barafu na Maji
Kipima Muda cha Mitambo
Aina ya Defrost
Msimamo wa bure
Aina ya Usakinishaji
Defrost Otomatiki, Kufuli ya mlango, Crisper Inayodhibitiwa na Unyevu, Bawaba ya Mlango Inayoweza Kubadilishwa, Nyingine
Vipengele vya Jokofu
mr uk no frost/ frost free combi fridge 247l *je unaijua no frost?* no frost*, ama *frost free* ni mfumo wa kisasa wa majokofu (fridge & freezer) unaosababisha kugandisha na kupooza bila kutengeneza barafu. mfumo huu unaondoa hewa inayoingia kwenye jokofu katika matumizi ya kawaida wakati wa kufungua na kuifunga, hivyo kuondoa unyevu katika hewa hio, ambao ndio huwa unagandishwa na kutengeneza barafu. 165l for fridge/82l for freezer *faida za kutumia no frost fridge za mr uk* 1. friji hizi hazivujishi maji chini, hata umeme ukikatika. 2. chakula au chombo kilichohifadhiwa kwenye friji hakigandamani na friji. 3. inaondoa harufu zozote zinazotokana na uhifadhi wa chakula 4. hazitengenezi mabarafu ndani, hivyo hakuna kazi ya kukwangua barafu zinazojaa price:- 950,000 1 year warranty
Mr Uk Non Frost Fridge With Capacity of 247 L
TSh 950,000
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif