tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya jikoni
  4. Majiko na Oveni
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 46 min ago
1 maoni

Mr UK Freeza Lita 420

+1
1
Freezers
Aina
Kijivu
Rangi
Chapa Mpya
Hali
MR UK
Chapa
Umeme
Chanzo cha Nguvu
2
Idadi ya milango
Chuma cha Pua
Vifaa ama nyenzo
Kifua
Aina ya Freezer
Nyingine
Uwezo
Msimamo wa bure
Aina ya Usakinishaji
A++
Darasa la Nishati
220V
Volteji
Inabadilishwa kuwa Jokofu, Stoo ya ndani, Mwangaza wa ndani, Sensa ya joto
Vipengele vya Friza
200watts
Nguvu
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
Bila malipo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . hili ni freeza la mr uk lina lita 420 na lina milango miwili kila mlango unajitegemea chemba yake yenyewe haziingiliani ni kama vile freeza mbili zimeungana, lia ubora wa hali ya juu na warranty ya uhakika mwaka . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko ya umeme na gesi pia brand zote zipo . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
TSh 1,250,000
Inaweza kujadiliwa
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif