Midea Single Door Glass Showcase Freezer / Chiller"
1/3
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
4 maoni
Midea Single Door Glass Showcase Freezer / Chiller"
+1
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Brand ya Kimataifa (Midea): Midea ni brand inayojulikana sana duniani kwa ubora, uimara, na kudumu kwa muda mrefu.
Kioo Kinachooenesha Ndani (Clear Glass Door Display): Inampa mteja fursa ya kuona bidhaa zilizopo ndani (nyama, ice cream, au vinywaji) bila kufungua mlango, jambo linalosaidia kutopoteza baridi.
Mfumo wa Mzunguko wa Hewa (Fan Cooling System): Ina fani ya ndani inayosambaza baridi kwa ufanisi mkubwa ili bidhaa zote zipate baridi sawa.
Shelves za Kurekebisha (Adjustable Heavy-Duty Wire Shelves): Raki zake ni imara na zinaweza kuhamishwa juu au chini kulingana na ukubwa wa bidhaa unazoweka.
Inahifadhi Baridi na Kuokoa Umeme: Teknolojia ya Midea inasaidia kutumia umeme mdogo huku ikishikilia baridi kwa muda mrefu hata umeme ukikatika.
Inafaa Biashara Mbalimbali: Ni bora sana kwa Supermarket, Duka la Nyama/Samaki