tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya jikoni
  4. Juisa
  5. Electric Vifaa vya jikoni
Dar es Salaam, Ilala, 24/09
2 maoni

Mashine Ya Juisi Ya Umeme Ya Betri / USB Electric Citrus Juicer

+1
Juicers
Aina
Chapa Mpya
Hali
Mini Juice
Chapa
Vyombo vya Habari vya machungwa / mkamuaji otomatiki
Aina ya Juicer
Mashine ya Juisi ya Umeme ya Betri / USB (Portable Electric Citrus Juicer / Squeezer) . Sifa Zake Kuu: Inayotumia Umeme na Rechargeable (USB): Haihitaji kutumia nguvu za mikono kusaga au kukamua; inajiendesha yenyewe kwa kubonyeza kitufe kimoja tu. Ina chaji inayotokana na kebo ya USB, hivyo unaweza kuitumia mahali popote. Urahisi wa Kutumia Slice: Kata matunda katikati. Weka tunda ndani ya mashine na ufunike kifuniko,Bonyeza kitufe cha kuwasha ili kuanza kukamua,Fungua mdomo wa mashine na umimine juisi kwenye glasi. Uwezo wa Kukamua Aina Mbalimbali za Matunda: Inafaa sana kwa matunda ya citrus kama vile machungwa, ndimu, malimao, na chenza, pamoja na matunda mengine laini. Kubebeka na Kutumia Mahali Popote (Portable): ni rahisi kubeba kwenda nayo safarini, kazini, au kwenye pikiniki.Urahisi wa Kusafisha: Sehemu zake za plastik
Mashine Ya Juisi Ya Umeme Ya Betri / USB Electric Citrus JuicerMashine Ya Juisi Ya Umeme Ya Betri / USB Electric Citrus JuicerMashine Ya Juisi Ya Umeme Ya Betri / USB Electric Citrus JuicerMashine Ya Juisi Ya Umeme Ya Betri / USB Electric Citrus JuicerMashine Ya Juisi Ya Umeme Ya Betri / USB Electric Citrus Juicer
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif