tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya jikoni
  4. Oveni
  5. Vifaa vya jikoni
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
31 maoni

Jiko LA Umeme Na Gesi LA Home Base

+1
6
Wapikaji
Aina
Black
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Homebase
Chapa
Gesi
Chanzo cha Nguvu
Chuma cha Pua
Vifaa ama nyenzo
4
Idadi ya Burners
Jiko la Gesi
Aina ya Jiko
Kichomeo nyama, Jiko nyingi, Udhibiti wa Joto
Vipengele
Kushughulikia
Vipengele vya Cookers Vimejumuishwa
A+++
Darasa la Nishati
Kidude
Aina ya Kudhibiti
50cm
Upana
85cm
Urefu
50cm
Kina
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 2,000 - 7,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . hili ni jiko la homebase lina plet 3 gesi 1 umeme oven inatumia ueme, inachoma vizuri sana, ni jiko lenye ubora wa hali ya juu, na imara sana, ukinunua hili mkataba, nakupa warranty mwaka . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko ya umeme na gesi, na nyinginezo nyingi tunazo brand zote kama hisense . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif