tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya jikoni
  4. Birika
  5. Hisense Vifaa vya jikoni
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
1 maoni

Hisense Kettle Hk17 GXG

+1
Birika
Aina
Nyeupe
Rangi
Chapa Mpya
Hali
Hisense
Chapa
Birika ya Maji
Kettle Type
SIFA ZA HISENSE KETTLE HK17 GXG Uwezo wa maji 1.7 L – Inaweza kuchemsha maji mengi kwa mara moja Nguvu ya heating 1850–2200 W – Huchemsha maji haraka Muundo wa glasi wa kisasa – Unaonekana vizuri jikoni na unaweza kuona maji yanavyochemka Boil‐dry & overheat protection – Inasimama yenyewe ikiwa maji yameisha au inapopata joto kupita kiasi Auto shut‐off – Inafuta nguvu yenyewe baada maji kuyachemka Water level indicator – Unaona wazi kiwango cha maji kabla ya kuchemsha Removable & washable limescale filter – Filter inazuia uchafu na ni rahisi kuosha 360° cordless base – Inatoa uhuru wa kubeba kikombe kutoka upande wowote kwa urahisi Rubber non‐slip base & cord storage – Inasimama imara na ina sehemu ya kuhifadhi cord Warranty ya 1 mwaka – Uhakikisho wa bidhaa
TSh 75,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif