Kiashiria cha Mwanga, Nyingine, Kikapu kinachoweza kutolewa
Vipengee vya Kikaangio
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo, Livingstone street & Aggrey street
Contact me through and i will send you the location through watsapp
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-19:00
Sema kwaheri kuchelewa jikoni! Mashine bora kabisa ya kukaanga chips, kuku, samaki, na samosa kwa urahisi na haraka.
Ujazo: Lita 6 (Single Tank)
Material: Stainless Steel (Imara na haipati kutu)
Matumizi: Inafaa sana nyumbani na kwenye biashara yako ya chakula.