Mwangaza wa ndani, Stoo ya ndani, Inabadilishwa kuwa Jokofu, Kikapu kinachoweza kutolewa
Vipengele vya Friza
Uwasilishaji
Nchini kote
1-3 mchana
TSh 5,000 - 25,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Dar Es Salaam
Closed
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:30
* Capacity: 150 Liters
-Inatosha kuhifadhi nyama, samaki, ice cream, vinywaji na vyakula vya nyumbani au biashara ndogo.
* Energy Saver Technology
-Inatumia umeme kidogo hivyo inapunguza gharama za bili ya umeme.
* Fast Cooling System
-Inaganda haraka na kusaidia chakula kubaki fresh muda mrefu.
* 2 Years Compressor Warranty
-Inakupa uhakika wa muda mrefu kwa compressor (sehemu muhimu ya freezer).
* Single Door Chest Design
-Husaidia baridi kubaki ndani kwa muda mrefu hata ukifungua mara kwa mara.
* Removable Basket (kwa baadhi ya models)
-Husaidia kupanga vitu vidogo ndani kwa urahisi.