Kipima muda, Mwanga wa Kupikia, Tanuri ya kazi nyingi
Vipengele vya tanuri
Kuokoa
Matumizi ya Vifaa vya tanuri
Kusafisha kwa mikono
Mtindo wa Kuosha
Kaunta juu
Aina ya Usakinishaji
Other
Idadi ya Burners
A
Darasa la Nishati
Kidude
Aina ya Kudhibiti
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-18:30
Unatafuta oven ndogo, ya kisasa na yenye uwezo mkubwa? Hii Kenwood 13 Liters Oven ndiyo chaguo sahihi kwa matumizi ya nyumbani, hostel au biashara ndogo.
Capacity: 13 Liters – Perfect kwa family ndogo au matumizi ya kila siku
Multi-function – Inabake, grill, roast na toast (keki, pizza, kuku, mkate n.k.)
Temperature Control hadi 230°C – Pika chakula kwa usahihi
Timer hadi dakika 60 – Hakuna kuchoma chakula, ina auto shut-off
Powerful & Energy Saving (600W) – matumizi madogo ya umeme
Glass Door (Transparent) – Unaona chakula kinavyoiva bila kufungua
Compact Size – Inachukua nafasi ndogo jikoni
Easy to Use (Knob Control) – Rahisi kutumia kwa kila mtu
Inafaa kwa:
Keki & maandazi
Kuchoma kuku / nyama / samaki
Pizza & toast
Kupasha chakula