tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vyombo vya jikoni na vya kupikia
  4. Vikataji vya Mboga
Dar es Salaam, Ilala, 02/11
2 maoni

Vegetable Cutters

Vyombo vya Kuhifadhi Chakula
Aina
Chapa Mpya
Hali
MULTIPURPOSE KITCHEN VEGETABLE CHOPPER Fanya maandalizi ya chakula yawe rahisi na ya haraka! Unachohitaji jikoni kwako kipo hapa! Hukata viazi, vitunguu, karoti na mboga nyingine. Ina blade mbalimbali za kukatia. Ina kikapu cha kuchujia maji. Ina sehemu ya kuhifadhia mboga. Ni rahisi kutumia na kusafisha. Inasaidia kuweka jiko lako katika mpangilio mzuri. Delivery inapatikana. Kuagiza, tuma ujumbe Inbox/WhatsApp. USIKOSE KIFAA HIKI CHA KISASA JIKONI KWAKO
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif