Kifaa cha kuosha sahani iko salama, Microwave Salama
Vipengele
Mabamba ya Chakula cha jioni
Aina ya ndani ya Mabamba
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo, Livingstone street & Aggrey street
Contact me through and i will send you the location through watsapp
Closed
• Jumatatu - Jumamosi, 08:00-19:00
Sahani za mfupa (bone china material) ni imara na nzito zina sifa za kuwa microwave safe na dishwasher safe zina muonekano mzuri wa kupendeza kwajili ya dinning kwako na hapa kutumika mahotelini na restaurants ni nzuri sana karibuni ... bei ni ya 12pcs of plates (dozen) ukitaka 6pcs(nusu dozen) pia unapata kwa nusu bei (half the price for 6pcs of plates)