tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya Kielektroniki vya Nyumbani
  4. Visafishaji vya Utupu
  5. Vifaa vya Kielektroniki vya Nyumbani
Dar es Salaam, Ilala, 01/06
4 maoni

Vacuum Cleaner

+1
Visafishaji vya utupu
Aina
Chapa Mpya
Hali
Sokany
Chapa
Vacuum cleaner ina motor yenye nguvu inayoweza kuvuta vumbi, uchafu, na hata nywele za wanyama kwa urahisi kutoka sakafuni, mazulia, na fanicha.Badala ya kufagia kwa kutumia ufagio wa kawaida, vacuum cleaner hufanya kazi haraka na kwa ufanisi zaidi.Zina vichujio maalum vinavyosaidia kuchuja hewa na kuzuia vumbi kurudi hewani. Baadhi zina HEPA filter ambayo ni bora kwa watu wenye mzio.
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif