tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya Kielektroniki vya Nyumbani
  4. Feni
  5. Remote Control Feni
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
26 maoni

Rising Feni Ya Kuchaji

+1
Mashabiki
Aina
Chapa Mpya
Hali
Rising
Chapa
Nyeupe
Rangi
Joto kaliii Kwishaa Umeme Ukikata usiwazeeee chukua hii Unachaji kwa umeme wa kawaida Umeme ukikata, yenyewe Inaendelea kufanya kazi kwa sababu ni za kuchaji. Inakaa na chaji masaa 12 ukiwa unatumia high speed( namba 3) kitumia kwenye speed ya kawaida (namba 2), unaweza kutumia siku moja. Ina uwezo wa kuchaji simu tena kwa uharaka kwa sabab ina 5V. Ina LED LIGHT, Size 18 Zinatumia REMOTE CONTROL. Sio lazima usimame ndo uwashe, we kaa zako kwenye sofa tumia remote. Pia kwa wale wanaotumia umeme wa SOLAR hii inafaa, kwa sababu inamudu umeme wa SOLAR na TANESCO.
Rising Feni Ya KuchajiRising Feni Ya Kuchaji
TSh 210,000
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif