Nyoosha nguo zako kwa urahisi na haraka na raf steam iron!
unatafuta mashine ya kisasa ya kunyoshea nguo huku zikiwa zimetoning'inia bila kuhitaji meza ya pasi? raf hanging ironing machine (r.3039) ndiyo suluhisho sahihi kwa ajili ya nguo zako!
1800w powerful steam: mvuke mkubwa wa moto unaoondoa makunyanzi kwa sekunde chache.
continuous steam system: inafaa kwa suti, magauni, mapazia na nguo za kila aina bila kuchoma.
high quality & easy to clean: imara na ni rahisi sana kuitumia na kuitunza.
3 years warranty: unanunua ukiwa na amani kamili ya miaka mitatu!