Ofa Ofa = Mr UK AC Btu 12 Inverta Inapuliza Ubaridi Balaa
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 47 min ago
1 maoni
Ofa Ofa = Mr UK AC Btu 12 Inverta Inapuliza Ubaridi Balaa
+1
Viyoyozi vya Hali ya Hewa
Aina
Chapa Mpya
Hali
Mr uk
Chapa
Mfumo wa kutema
Aina ya AC
Ndio
Teknolojia ya Inverter
Kisafishaji cha Hewa, Kichujio cha vumbi, Joto na Baridi, Kidhibiti cha Mbali, Hali ya Kulala, Kipima muda, Joto na Baridi
Vipengele vya kiyoyozi
Nyeupe
Rangi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Tunauza bidaa mpya tu hatuna used, majibu ya haraka piga simu sio meseji
.
hii ni ac ya brand kubwa mr uk btu 12000 ina inaverta hivyo haili umeme na inapuliza ubaridi wa uhakika ina warranty uhaikika miaka 3
.
delivery tunafanya lipa ukishapokea mzigo wako na kuukagua
.
usishangae unafuu wa bei zetu kwani sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics
.
sisi tutakuuzia kwa bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti
.
zipo bidhaa zote mfano tv nchi 17-98, sabufa, sound bar, friji, majiko aina zote pia brand zote zipo kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop na nyinginezo ushindwe ww tu
.
tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt tupigie