Call us, or Visit our store ata Kariakoo Agrey na Likoma Street
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-19:30
Unahitaji simu ya mezani inayotumia SIM card? KX F317 ni chaguo bora kwa ofisi, maduka, biashara na matumizi ya nyumbani.
Inatumia SIM Cards 2 — GSM 850/900/1800/1900MHz
Haitaji waya wa landline — tumia mtandao wa simu
Caller ID — kuona namba ya anayepiga
SMS — kutuma na kupokea ujumbe
Loudspeaker — kuongea bila kushika simu