tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya umeme vya nyumbani
  4. Simu za Mezani
Dar es Salaam, Ilala, masaa 4 yaliyopita
1 maoni

Kx F317 GSM Fixed Wireless Phone [Double Line]

+1
Simu za Mezani
Aina
Chapa Mpya
Hali
GSM
Chapa
Betri, Umeme
Chanzo cha Nguvu
5watts
Nguvu
Nyingine
Aina ya Simu
Nyingine
Rangi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo Agrey na Likoma Street
Call us, or Visit our store ata Kariakoo Agrey na Likoma Street
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-19:30
Ondoa usumbufu wa nyaya za simu za mezani! KX F317 ni simu ya mezani inayotumia SIM card, inayokuwezesha kupiga na kupokea simu kupitia mtandao wa simu bila kuhitaji waya wa simu wa mezani. Features za Kipekee: Inatumia SIM CARD 2 (Dual SIM) Inafanya kazi bila waya wa mezani Inatumia mitandao ya GSM 850/900/1800/1900MHz Battery yenye uwezo mzuri Loudspeaker kwa mawasiliano ya bila kushika simu mkononi Caller ID — kuona namba ya anayepiga SMS Function Phonebook yenye kuhifadhi namba nyingi Voice recording na mute function Inafaa kwa: Ofisi, maduka, biashara na matumizi ya nyumbani. K.koo Agrey & Likoma [Mkombozi Bank] + Tunatuma Dar es Salaam na mikoani — Pay After Receiving Your TechHome, Buy Genuine-Buy Happiness
Kx F317 GSM Fixed Wireless Phone [Double Line]Kx F317 GSM Fixed Wireless Phone [Double Line]
TSh 80,000
Inaweza kujadiliwa
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif