Kisafishaji cha Hewa, Kichujio cha vumbi, Kidhibiti cha Mbali, Hali ya Kulala, Kipima muda, Joto na Baridi
Vipengele vya kiyoyozi
Nyeupe
Rangi
Pata ubaridi wa haraka na wa uhakika kwa kutumia Hisense 9000 BTU Non-Inverter Air Conditioner. Inafaa kwa nyumba, ofisi na vyumba vya ukubwa wa kati, ikiwa na utendaji bora na uimara wa muda mrefu.
9000 BTU Cooling Capacity
Non-Inverter System
Fast Cooling Technology
Low Noise Operation
Auto Restart Function
R410A Refrigerant
Rahisi kutumia na kudumu kwa muda mrefu
Tunapatikana Dar es Salaam
Tunatuma mikoa yote Tanzania.