tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya Kielektroniki vya Nyumbani
  4. Feni
  5. Vifaa vya Kielektroniki vya Nyumbani
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 36 min ago
5 maoni

Feni Ya Kusimama Ya Ailyons Upepo Mkali Inazunguka Pand Zote

+1
5
Mashabiki
Aina
Chapa Mpya
Hali
AILYONS
Chapa
Black
Rangi
Uwasilishaji
Dar es Salaam
1 mchana
TSh 2,000 - 7,000
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Ili ujibiwe haraka usitume meseji nipigie simu . hii ni feni ya kusimama ya ailyons, ina zunguka pande zote na inaupepo wakutosha, hii ki imara sana na ukinunua hii mkataba nakupa warranty mwaka . delivery tunafanya na utalipia baada ya kupokea mzigo wako na kujiridhisha kuwa uko salama . usishangae unafuu wa bei zetu kwakuwa sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics . sisi tutakuuzia bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti . zipo bidhaa zote kama vile tv, sabufa, sound bar, pressures cookers, majiko ya umeme na gesi, na nyinginezo nyingi. tunazo brand zote kama hisense, samsung, lg, tcl, aborder, alitop . tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt
Feni Ya Kusimama Ya Ailyons Upepo Mkali Inazunguka Pand ZoteFeni Ya Kusimama Ya Ailyons Upepo Mkali Inazunguka Pand Zote
TSh 59,000
Inaweza kujadiliwa
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif