tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya umeme vya nyumbani
  4. Feni
  5. Feni za dari
  6. Ceiling Feni
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 2 yaliyopita
4 maoni

F3+ Ceiling Fan Light Yenye Remote (Taa Na Feni Ya Dari)

Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
​Muundo wa 2-in-1: Inafanya kazi kama Taa ya Dari (Ceiling Light) na Feni ya kupooza chumba kwa wakati mmoja. ​Remote Control: Inakuja na rimoti inayokuwezesha kuwasha/kutuliza taa, kubadilisha kasi ya feni na kuweka muda wa kuwaka/kuzima (timer: 1h, 2h, 4h). ​Upepo Mwanana (3 Mini Fans): Ina feni 3 zenye mikono inayozunguka vizuri ili kusambaza hewa safi chumbani. ​Okoa Umeme: Inatumia teknolojia ya LED inayotumia umeme kidogo sana lakini inatoa mwanga mzuri na wa kutosha (AC85-265V). ​Ufungaji Mwepesi: Ni rahisi kufunga kwenye dari ya sebule, chumba cha kulala, jikoni au ofisini. ​Mwonekano wa Kifahari: Inafanya chumba ionekane cha kisasa na cha kuvutia.
F3+ Ceiling Fan Light Yenye Remote (Taa Na Feni Ya Dari)F3+ Ceiling Fan Light Yenye Remote (Taa Na Feni Ya Dari)F3+ Ceiling Fan Light Yenye Remote (Taa Na Feni Ya Dari)
TSh 60,000
3 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif