tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya Kielektroniki vya Nyumbani
Dar es Salaam, Ilala, 11/06
37 maoni

Electric And Water Prepaid Submeter

+1
1
Wadhibiti wa Voltage
Aina
Chapa Mpya
Hali
Sub-Zero
Chapa
Shaba
Vifaa ama nyenzo
Kijivu
Rangi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Call & normal text
Open
• Jumatatu - Jumapili, 06:12-23:58
Moonstar ST18 Prepaid Submeter ni mita ya kisasa ya kidigitali inayokuwezesha kupima na kudhibiti matumizi ya umeme kwa usahihi mkubwa. Inatumia mfumo wa prepaid (token system) unaokuruhusu kulipia umeme kabla ya kutumia kama mfumo wa LUKU. Ni bora kwa nyumba za kupanga, hosteli, maduka na ofisi ambapo kila mpangaji analipia matumizi yake binafsi. Inazuia madeni ya umeme, inalinda vifaa dhidi ya overload na short circuit, na inaonyesha units, voltage na balance kwa usahihi. ST18 ni rahisi kufunga, inafaa kwa single phase (220V) na ina muonekano wa kisasa unaodumu kwa muda mrefu. Kwa mwenye nyumba, inarahisisha usimamizi wa wapangaji, inaongeza uwazi, uaminifu na thamani ya nyumba. Kwa mpangaji, inatoa uhuru wa kujua matumizi halisi na kupanga bajeti yake. Moonstar ST18 ni salama, imara na yenye ubora wa kimataifa. #yuotube
Electric And Water Prepaid SubmeterElectric And Water Prepaid SubmeterElectric And Water Prepaid Submeter
TSh 130,000
Inaweza kujadiliwa

TSh 110,000

≥ vipande 10

TSh 95,000

≥ vipande 30
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif