Cute Mini Landscape Air Humidifier & Aroma Diffuser (Brand New)
1/3
+1
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
7 maoni
Cute Mini Landscape Air Humidifier & Aroma Diffuser (Brand New)
Humidifiers
Aina
Chapa Mpya
Hali
Other
Chapa
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Design ya Kipekee (Landscape Design): Ina muundo wa kioo cha wazi chenye muonekano wa bustani ndogo ya kijani na picha ya mnyama wa mapambo ndani.
Aroma Diffuser: Unaweza kuweka mafuta ya harufu nzuri (essential oils) ili kuleta harufu ya kutuliza nafsi chumbani au ofisini.
Air Humidifier: Inasaidia kuongeza unyevunyevu hewani, kupunguza ukavu wa ngozi, na kurahisisha upumuaji mahali penye AC au joto.
Kipambo cha Meza (Home/Office Decor): Inapendezesha sana meza ya kazi, chumba cha kulala, au sebule.
Inatumia USB: Ni rahisi kuitumia na inaokoa umeme.
Brand New: Mpya kabisa kwenye boksi.