tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Vyombo vya Usafiri
  3. Ujenzi na Mashine nzito
Dar es Salaam, Ilala, 45 min ago
3 maoni

Mashine Yakuchekechea Dhahabu/Gold Sluice Highbanker +Water Pump 6.5HP

+1
Gold sluice
Aina
Other
Kufanya
Power sluice 2inch
Mfano
Chapa Mpya
Hali
2025
Mwaka wa utengenezaji
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo Aggrey/livingstone Street
Near AZAM ICE CREAM CENTER
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-18:00
Mashine mpya ya dhahabu Gold Sluice Highbanker urefu wa mita 3, imetengenezwa kwa chuma kigumu cha stainless steel kisichoshika kutu na inakuja na green gold carpet nane ambazo zinanasa hata dhahabu ndogo sana. Seti nzima inajumuisha hopper yenye grizzly screen ya kuchuja mawe makubwa, water pump ya petroli 6.5HP pamoja na mabomba yake yote mawili ya kuvuta na kusukuma maji, pamoja na miguu inayoweza kurekebishwa kwa urahisi. ni nyepesi na inabebeka kwa urahisi kwenda mtoni au mgodini na haitumii umeme inatumia petroli tu.
Mashine Yakuchekechea Dhahabu/Gold Sluice Highbanker +Water Pump 6.5HPMashine Yakuchekechea Dhahabu/Gold Sluice Highbanker +Water Pump 6.5HP
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Epuka kutuma malipo yoyote ya awali
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kile utakachonunua ili kuhakikisha ndicho unachohitaji
  • Angalia hati zote na ulipe tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif