Mashine Ya Kuchuja Dhahabu (Sluice Box) Na Pampu Ya Maji 7.5HP
1/3
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
1 maoni
Mashine Ya Kuchuja Dhahabu (Sluice Box) Na Pampu Ya Maji 7.5HP
+1
Sluice box
Aina
Other
Kufanya
Gold sluice
Mfano
Chapa Mpya
Hali
2025
Mwaka wa utengenezaji
Hapana
Kubadilishana inawezekana
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo Aggrey/livingstone Street
Near AZAM ICE CREAM CENTER
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-18:00
Hii Portable Gold Highbanker Sluice Box Complete Set hii inajumuisha sluice box ya aluminium urefu wa cm 150 yenye miner moss carpet ya kijani ya kukamata dhahabu ndogo, water pump ya petroli 7.5HP four stroke yenye nguvu ya kusukuma maji umbali mrefu, suction hose meter 6 transparent heavy duty na gold pan ya blue ya kitaalamu cm 45. Mashine ni mpya na ni portable rahisi kubeba popote, haishiki kutu, inakamata dhahabu hadi asilimia 98 hata chembe za unga, inafanya kazi bila umeme unahitaji mafuta (petrol) tu na inafaa kwa uchimbaji mdogo na wa kati kwenye mito, madimbwi na mchanga wa dhahabu haswa maeneo ya Geita, Chunya, Mara, Shinyanga na Mbeya.
Karbun sana bei inazungumzika pia.