CONCRETE MIXER 350 LITRE – DIESEL
Unahitaji mashine ya kuchanganya zege kwa kazi za ujenzi? Tunayo concrete mixer ya 350L inayotumia diesel.
Ujazo wa drum: 350 litres
Inatumia diesel engine
Inafaa kwa kuchanganya vifaa vya zege kwenye miradi ya ujenzi
Inapatikana Dar es Salaam
Wasiliana nasi kwa bei na maelezo zaidi.