tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Elektroniki
  3. Vichwa vya sauti
  4. Vichwa vya sauti vya juu ya masikio
  5. Oraimo Vichwa vya sauti
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 zilizopita
6 maoni

Oraimo OpenCirclet 2 (OPN-672) Open-Ear Wireless HeadphonesChaguo

+1
Chapa
OPN-672
Mfano
Kwenye sikio
Aina
Chapa Mpya
Hali
Kwenye sikio pekee
Sababu ya Fomu
Bila Waya
Muunganisho
Bluetooth
Kiolesura cha Kuunganisha
Black
Rangi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-20:00
Muundo wa Open-Ear (Extreme Comfort): Haiziingizwi ndani ya tundu la sikio, hivyo ni salama kwa masikio na unaweza kusikiliza muziki huku ukiwa unaona/unasikia kinachoendelea pembeni yako (salama kwa wanaokimbia au kuendesha baiskeli barabarani).Uwezo wa Battery: Inadumu hadi saa 16 za matumizi ya muziki kwa chaji moja.Inapiga Hatua (Steps Tracking/Pedometer): Ina teknolojia ya kuhesabu hatua zako unapofanya mazoezi.HavyBass & Sound Tuning: Sauti yenye besi nzito na unaweza kurekebisha sauti utakavyo kupitia oraimo Sound App.Kuzuia Kelele (2-Mic ENC): Ina maikrofoni mbili zinazofanya sauti yako isikike vizuri kwenye simu bila kelele za nje.Inahimili Maji/Jasho (IPX5 Waterproof): Ni ngumu kuharibika kwa jasho la mazoezi au mvua ndogo.Dual Device Connection: Unaweza kuunganisha kwenye simu mbili au simu na laptop
Oraimo OpenCirclet 2 (OPN-672) Open-Ear Wireless HeadphonesChaguoOraimo OpenCirclet 2 (OPN-672) Open-Ear Wireless HeadphonesChaguo
TSh 125,000
2 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif