tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Ukarabati na Ujenzi
  3. Vyombo vya mkono
  4. Bastola za Stepla
  5. Kazi Vyombo vya mkono
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 12 yaliyopita
5 maoni

Crane Scale

+1
Crane Hanging Scale
Aina
Wauzaji Group
Chapa
Chapa Mpya
Hali
Uwasilishaji
Nchini kote
1 mchana
Bila malipo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Open
• Jumatatu - Jumapili, 05:00-23:00
Tunauza Crane Scale, mizani ya kisasa na yenye uwezo mkubwa wa kupima uzito wa mizigo mikubwa kwa usahihi wa hali ya juu. Inafaa kwa matumizi ya viwandani, maghala, na biashara za usafirishaji. Sifa za Hanging Crane Scale: - Hupima uzito mkubwa kwa usahihi wa hali ya juu mpaka Kg 500. - Ina muundo imara na wa kudumu kwa matumizi ya muda mrefu. - Rahisi kutumia na inakuja na skrini ya kusoma matokeo kwa urahisi. - Inafaa kwa mazingira ya kazi yenye changamoto kama viwandani na kwenye maghala. - Zinapatikana kwa ukubwa na uwezo tofauti kulingana na mahitaji yako. Tunasafirisha popote Tanzania kwa haraka na uhakika.
TSh 250,000
Bei isiyobadilika
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif