tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Fanicha
  4. Meza
  5. Meza
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, 26 min ago
18 maoni

Luxury Nesting Coffee Table Set - Modern Marble Gold Round Tables

+1
Zenith
Chapa
Meza
Aina
Chapa Mpya
Hali
Dhahabu
Rangi
Majedwali ya Kahawa
Aina ya Meza
Mviringo
Umbo
Nane
Uwezo wa Kuketi
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
kariakoo Livingstone & Magomeni mapipa
Space-Saving Nesting Design: Seti hii inakuja na meza mbili (kubwa na ndogo). Unaweza kuziweka pamoja kwa kupishana kidogo ili kuokoa nafasi au kuzitenganisha unapokuwa na wageni wengi. Faux Marble Top: Sehemu ya juu ina muonekano wa marumaru (marble) mweupe, ambayo ni rahisi kusafisha, haishiki madoa kwa urahisi, na inang'aa vizuri. Premium Gold Finish Frame: Fremu za chuma imara zilizopakwa rangi ya dhahabu (gold) inayostahimili kutu na kuleta muonekano wa gharama. Safety Round Edges: Meza hizi ni za duara, hivyo ni salama zaidi kwani hazina ncha kali, jambo ambalo ni muhimu kama una watoto au wageni wengi. Stable & Sturdy Base: Muundo wa miguu umewekwa kitaalamu ili kuhakikisha meza haiyumbi hata ukiweka vitu vizito kama vitabu au vyombo vya chakula.
Luxury Nesting Coffee Table Set - Modern Marble Gold Round TablesLuxury Nesting Coffee Table Set - Modern Marble Gold Round TablesLuxury Nesting Coffee Table Set - Modern Marble Gold Round Tables
TSh 145,000
Inaweza kujadiliwa
6 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif