Fanya jiko lako liwe la kisasa, nadhifu na lenye mpangilio mzuri!
Kabati hili lina sehemu maalumu ya kuweka jiko la gesi pamoja na storage cabinet ya kuhifadhia vyombo na vifaa vya jikoni.
Material: Limetengenezwa kwa material imara na yenye ubora.
Matumizi: Linafaa kwa kupikia, kupanga vyombo na kuhifadhi vifaa mbalimbali vya jikoni huku likiokoa nafasi. Lipo tayar , free delivery