Livingstone street 25, Opposite Arafat Restaurant, Kariakoo
Makutano ya Udoe Street na Livingstone Street, Town: Kariakoo, City: Dar es Salam, Country: Tanzania
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-22:00
Kiti cha ofisi cha ergonomic (Ergonomic Office Chair) chenye muundo unaochanganya ngozi (leather) na Kitambaa cha wavu (mesh) kwa ajili ya faraja na mzunguko mzuri wa hewa wakati wa kukaa kwa muda mrefu.
.
• Kiti cha juu (High-Back) kinachosaidia mgongo mzima, kikiwa na sehemu ya kuegemeza kichwa (Headrest) inayoweza kurekebishwa.
.
• Pande za pembeni zimezungushiwa ngozi (PU Leather) inayokipa kiti muonekano wa kifahari, huku katikati ya sehemu ya kukalia na kuegemea kukiwa na kitambaa cha wavu (mesh) kinachozuia joto na jasho.
.
• Kina viwiko vya mikono (Armrests) vinavyoweza kupandishwa au kushushwa, uwezo wa kuzunguka (360° Swivel),
.
Na lever ya kurekebisha urefu kwenda juu au chini (Pneumatic height adjustment).
.
• Kina miguu 5 thabiti yenye magurudumu (casters) yanayoruhusu kuteleza kwa urahisi sakafuni.