Dinning table sets ya viti sita , material ni mbao ngumu sana ya mninga , unaweza tumika nyumbani kwako na kupendezesha dinning room yako , kwenye airbnb , hotel, na uleta mwonekano mzuri pia ni ngumu kuvunjika au kulika na wadudu, ipo tayari, free delivery , malipo ni baada ya kupokea mzigo wako