Corsair T3 RUSH Gaming Chair (Toleo La Rangi Ya Grey/White).
1/7
+ 2
picha
Dar es Salaam, Ilala, masaa 4 yaliyopita
3 maoni
Corsair T3 RUSH Gaming Chair (Toleo La Rangi Ya Grey/White).
+1
Corsair
Chapa
Viti
Aina
Ofisi ya Nyumbani / Utafiti
Chumba
Kutumika
Hali
Nyeupe
Rangi
Viti vya Michezo
Aina ya Kiti
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Livingstone street 25, Opposite Arafat Restaurant, Kariakoo
Makutano ya Udoe Street na Livingstone Street, Town: Kariakoo, City: Dar es Salam, Country: Tanzania
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-22:00
Maelezo ya Hiki Kiti:
.
Nyenzo (Material): Kimeundwa kwa kitambaa laini kinachopitisha hewa vizuri (breathable soft fabric), tofauti na viti vya ngozi (PU leather) ambavyo huleta joto au jasho ukikaa muda mrefu.
.
Faraja ya Mgongo na Shingo: Kina muundo wa ergonomic unaofuata umbo la mwili, kikiwa na mito maalumu ya ziada kwa ajili yakutegemeza shingo na sehemu ya chini ya mgongo (lumbar support) ili kuzuia maumivu wakati wa kazi au kucheza game.
.
Marekebisho (Adjustability): Unaweza kurekebisha sehemu ya kuweka mikono kuelekea pande nne tofauti (4D Armrests). Pia kina uwezo wa kulazwa nyuma kabisa hadi nyuzi 180 (lay-flat reclining).
.
Uimara: Kina fremu thabiti ya chuma ndani yake (solid steel frame) inayohakikisha kiti kinadumu kwa miaka mingi.