Office zetu zinapatikana dar es salaam mabibo na ni watengezaji wa furniture aina zote kwetu uaminifu ndo kipaumbele chetu na tuna furniture zilizokamilika ofxn kwetu pia tunapokea order yoyote inayohusu furniture kwa makubaliano yetu na mteja asanteni na karibuni saana