tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Fanicha
  4. Viti
  5. Viti vya Ofisini
  6. Office Fanicha
Dar es Salaam, Ilala, masaa 20 yaliyopita
3 maoni

Armless Office Chair:- Ergonomic Swivel Desk Chair

+1
Other
Chapa
Viti
Aina
Ofisi ya Nyumbani / Utafiti
Chumba
Kutumika
Hali
Kijani Kibichi
Rangi
Viti vya Ofisi
Aina ya Kiti
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Livingstone street 25, Opposite Arafat Restaurant, Kariakoo
Makutano ya Udoe Street na Livingstone Street, Town: Kariakoo, City: Dar es Salam, Country: Tanzania
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumapili, 09:00-22:00
Kiti cha ofisini kisicho na mikono (Armless Ergonomic Swivel Desk Chair) chenye muundo wa kisasa, ambacho hutumiwa sana nyumbani, kwenye meza za kusomea za watoto/wanafunzi, au katika maeneo madogo ya kazi. . kwa ufupi kina: . Breathable Mesh Back: Sehemu ya kuegemea mgongo imetengenezwa kwa plastiki ngumu yenye matundu ya muundo wa kipekee unaoruhusu hewa kupita kwa urahisi ili kuzuia jasho. . Padded Cushion Seat: Kina mto laini uliowekwa kitambaa cha mesh (mesh fabric) kinachozuia joto na kutoa faraja wakati wa kukaa. . Adjustable & Swivel: Kiti hiki pia kina uwezo wa kuzunguka kwa nyuzi 360 na kina lever ya haidroliki chini kwa ajili ya kupandisha au kushusha urefu kulingana na meza yako. . Urahisi wa Kusogea: Kina miguu thabiti yenye magurudumu madogo (casters) yanayoruhusu kukisogeza kwa urahisi sakafuni.
Armless Office Chair:- Ergonomic Swivel Desk ChairArmless Office Chair:- Ergonomic Swivel Desk ChairArmless Office Chair:- Ergonomic Swivel Desk ChairArmless Office Chair:- Ergonomic Swivel Desk ChairArmless Office Chair:- Ergonomic Swivel Desk Chair
TSh 230,000
5 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif