tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mbegu na Mbolea
Dar es Salaam, Ilala, siku 2 zilizopita
27 maoni

Paraquat ( Para Force)

+1
Nyingine
Aina
Hii ni sumu ya kuuwa magugu shambani Yani hiii inatumika kuandaa shamba Kwa ajili ya kupandia au kulimia Pia simu hii tukumbuke kuwa hii ni sumu ambayo inafanya kazi ndani ya masaa 24 tu ambapo hii Haina uwezo wa kufika chini kwenye kiini Cha mzizi au mimea hii kazi yake ni kubabua juu juu majani Yani kukausha majani ya juu tu ila Haina uwezo wa kufika chini kwenye kiini Cha mzizi pia tunazo Kwa bei ya jumla na reja reja
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif