tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mbegu na Mbolea
Dar es Salaam, Ilala, 03/06
43 maoni

Mbegu Ya Mpunga

+1
2
Nyingine
Aina
Mbegu ya mpunga SARO 5 hi ni mbegu bora ya mpunga ni ipo kwenye mfuko wa kilo tano na inaingia kwenye heka moja mfuko wa kilo tano Ekolojia yake ni ; skimu za umwagiliaji / uwanda wa chini mabondeni Muda wa kukomaa ni siku 110-120 Sifa ya kukoboa 65% Mavono kwa heka 5-7 Inasifa ya kunukia Mbole ya kupandia ni ( DAP ) mifuko 2.5 kwa heka Mbolea ya kukuzia ni( UREA) mifuko 2.5 kwa heka Mbolea ya pili ya kukuzia na kuzalishia ni( NPK ) Mifuko 2.5 kwa heka moja
TSh 35,000
Inaweza kujadiliwa
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif