tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, kilimo na shughuli za mashambani
  3. Mbegu na Mbolea
  4. Mbolea
  5. Liquid Mbolea
Dar es Salaam, Ilala, masaa 17 yaliyopita
9 maoni

BioGrow Liquid Organic Fertilizer 1 Litre – Kama Mbolea Samadi

Fertilizers
Aina
Plantation Crops
Aina ya Mazao
Kioevu
Fomu
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
33 Nkrumah St, Dar es Salaam
Fungua sasa
• Jumatatu - Jumamosi, 09:00-18:00
BIOGROW – MBOLEA YA MAJI 1 LITRE BioGrow husaidia ukuaji wa mimea na inaweza kutumika kwa kunyunyizia majani, kumwagilia mizizi, kutibu mbegu au kupitia mfumo wa drip. Matumizi ya jumla: Changanya 5 ml za BioGrow na lita 5 za maji kwa kunyunyizia au kumwagilia mizizi. Kwa matibabu ya mbegu na drip: Fuata maelekezo ya bidhaa kulingana na aina ya zao na eneo. Inapatikana Dar es Salaam Wasiliana nasi kwa bei na maelezo zaidi. Agro & Machinery
BioGrow Liquid Organic Fertilizer 1 Litre – Kama Mbolea Samadi
TSh 25,000

TSh 20,000

≥ vipande 10
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif