tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, siku 1 iliyopita
84 maoni

Mashine Za Kutengeneza Chakula Cha Mifugo

+1
2
Mashine za Kutengeneza Chakula Cha Mifugo
Aina
Chapa Mpya
Hali
Buluu
Rangi
Uwasilishaji
Nchini kote
1 mchana
Bila malipo
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Kariakoo
Open
• Jumatatu - Jumapili, 05:00-23:00
Tunauza mashine za kutengeneza chakula cha mifugo Tanzania, mashine za kisasa zinazorahisisha utengenezaji wa chakula bora kwa ng’ombe, kondoo, kuku, na wanyama wengine wa kufuga. Mashine hizi hutoa chakula chenye mchanganyiko sahihi wa virutubisho na zimeundwa kwa muundo imara unaodumu kwa matumizi ya mara kwa mara. Mashine zetu ni rahisi kutumia na kusafisha, zinatoa matokeo ya haraka kwa uzalishaji mkubwa wa pellets, unga au mchanganyiko wa chakula cha mifugo. Pata mashine za kutengeneza chakula cha mifugo leo Tanzania na uboresha lishe na afya ya mifugo yako.
TSh 1,600,000
Bei isiyobadilika
1 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif