tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mashine za Kutotoleshea Mayai
  5. Mashine na Vifaa vya Shamba
Imefaulu
Dar es Salaam, Ilala, masaa 3 yaliyopita
59 maoni

Incubator Machine Hard Body 1056 Eggs/Mashine Ya Kutotolesha

+1
3
Kiangulio ya yai
Aina
Chapa Mpya
Hali
Stima
Chanzo cha Nguvu
INCUBATOR MASHINE, hard body 1056 Eggs / Mashine ya Kutotoleshea Vifaranga AU Kuangulia Mayai Ina Watt 1200 ( 1200W) Inatumia umeme wa tanesco Au Solar Unapotumia SOLAR hakikisha Battery ni Kuanzia 1200W na kuendelea na unatumia pamoja na Inverter Inatunza Joto Masaa 24 Baada ya Umeme Kukatika Full automatic incubator machine Inajigeuza mayai yenyewe haihitaji kugeuza geuza mayai kwa mikono Uanguaji wake ni 98% kwa mayai aina zote Ni ngumu na imara zaidi ambayo haishiki kutuu
Incubator Machine Hard Body 1056 Eggs/Mashine Ya Kutotolesha
TSh 2,350,000
10 Maonitazama zote
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif