tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Chakula, Kilimo na Kilimo
  3. Mashine na Vifaa vya Shamba
  4. Mabwawa ya Samaki
Dar es Salaam, Ilala, 22/07
5 maoni

"HDPE Geomembrane/Pond Liner Ya Kutengeneza Bwawa."

+1
Mabwawa ya Samaki
Aina
Chapa Mpya
Hali
Black
Rangi
Matumizi ya pond liner * Kufugia samaki (tilapia, kambale n.k.) * Kuhifadhi maji ya umwagiliaji * Mabwawa ya kunyweshea mifugo * Mabwawa ya mapambo (landscaping) * Miradi ya kilimo cha mboga na matunda inayohitaji hifadhi ya maji * Kukusanya maji ya mvua kwa matumizi ya shambani Kina kinachoshauriwa * 1.0–1.2 m – Mabwawa madogo ya samaki. * 1.2–1.5 m – Kina kinachopendekezwa kwa biashara nyingi za ufugaji wa samaki. * 1.5–2.0 m – Mabwawa makubwa au maeneo yenye joto kali ili maji yasipungue haraka. Unene (Thickness) wa pond liner * 0.3 mm – Matumizi mepesi, si bora kwa biashara. * 0.5 mm – Miradi midogo. * 0.75 mm – Biashara za ukubwa wa kati. * 1.0 mm – Inapendekezwa kwa biashara nyingi; hudumu miaka mingi. * 1.5 mm – Miradi mikubwa na matumizi ya muda mrefu.
"HDPE Geomembrane/Pond Liner Ya Kutengeneza Bwawa.""HDPE Geomembrane/Pond Liner Ya Kutengeneza Bwawa."
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kwanza, kagua kile unachotaka kununua ili kuhakikisha ni kile unachohitaji
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif