tre.gif
Uza haraka
Janjaruka kwa Ununuzi
  1. Matangazo yote
  2. Nyumbani, Samani na Vifaa
  3. Vifaa vya nyumbani
Dar es Salaam, Ilala, 22/10
1 maoni

Smart Corrector Posture Belt

Other
Chapa
Nyingine
Aina
Chapa Mpya
Hali
*#Smart corrector Posture Belt* Smart posture belt hii inakusaidia kukaa sawa kwani Inavibrate na kutoa alarm iki alert pale unapokua katika posture mbaya yani umepinda. *Faida zake* Inakupunguzia maumivu ya mgongo na kukusaidia kuwa na mkao mzuri zaidi Hasa wale wanatumia muda mwingi wakifanya shughuli zao wakiwa wamekaa. Ni nzuri kwa watu wa rika zote tupo kariakoo swahili na narungombe pia tunafanya delivery
Smart Corrector Posture BeltSmart Corrector Posture BeltSmart Corrector Posture Belt
Ripoti Unyanyasaji
Vidokezo vya Usalama
  • Usilipe mapema hata kama ni ada ya kusafirishiwa bidhaa
  • Kutana na muuzaji mahali salama pa umma
  • Kagua kipengee na uhakikishe ni nini hasa unachotaka
  • Hakikisha kwamba bidhaa uliyofungiwa ni ile ambayo uliagiza
  • Lipa tu ikiwa umeridhika
frame_left.gif