Pamba Dressing Table Yako Kwa Seti Hii Ya Maua Na Vase La Udongo
1/2
Dar es Salaam, Ilala, masaa 12 yaliyopita
3 maoni
Pamba Dressing Table Yako Kwa Seti Hii Ya Maua Na Vase La Udongo
+1
Deco
Chapa
Mimea na Maua
Aina
Chapa Mpya
Hali
Anwani ya duka
Dar es Salaam • Ilala
Dar Es Salaam
Open
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-21:00
Pendezesha nyumba au ofisi yako kwa seti hii ya kisasa na ya kifahari kabisa ya maua ya meza yaliyopo kwenye vase jeupe la udongo (ceramic).
Muonekano: Wa kuvutia sana, wa kisasa na haunyauki.
Matumizi: Inafaa kuweka kwenye meza ya sebule, meza ya chakula, shelf, au ofisini.
Bei: TSh 28,000 tu!