Hizi ni blanket nzito na kubwa zenye uzito 8kg,10-15kg .Nzuri kwa maeneo ya baridi na kwa kutolea mahari pia. Pia tunazo blanketi za wastani 8-4kg,na nyepesi pia pamoja na soft blankets. Zipo katika muonekano tofauti ,Zina layer mbili na rangi ya upande mmoja ni tofauti na upande mwingine ,tunaweza kugeuza na kubadili muonekano.kwa picha zaidi tuchek Whatsapp.karibuni