Hutundikwa ukutani bila kuchukua nafasi kubwa
Hutunza shampoo, sabuni, toothpaste na vifaa vya bafuni
Ina muundo wa chuma/plastic wenye uimara
Haishiki kutu kirahisi (waterproof/rustproof)
Rahisi kufunga ukutani
Ina sehemu za kutolea maji hivyo maji hayasimi
Husaidia kupanga bafuni ionekane nadhifu