LAPTOP INAUZWA — DELL LATITUDE 5300
Laptop safi, inafanya kazi vizuri, inafaa kwa masomo, ofisini, biashara na matumizi ya kila siku.
Intel Core i5 — 8th Generation
RAM: 16GB
Storage: 500GB SSD
Windows 11 Pro
Betri inashikilia chaji vizuri
Hali nzuri sana
Inakuja na charger
Bei: TSh650,000 (mazungumzo yapo)
Kwa maelezo zaidi au kuona laptop, nitumie ujumbe inbox.
Laptop inapatikana kwa mtu anayehitaji kifaa kizuri kwa kazi na masomo. Karibu!