KARIAKOO NJIAPANDA YA MTAA WA NDANDA NA MUHONDA NYUMA YA CHINA PLAZA KARIBU NA BUTTERFLY HOTEL
Imefungwa sasa
• Jumatatu - Jumapili, 08:00-22:00
Kwa majibu ya haraka piga simu sio meseji
.
hii ni dell computer cpu ina ubora wa juu sana na warranty mwaka mzima, ina piga kazi balaa hakika itaikubali roho ya paka, bei hiyo ni kwa cpu pekee ukitaka na monitor zipo pia bei nafuu tupigie
.
delivery tunafanya lipa ukishapokea mzigo wako na kuukagua
.
usishangae unafuu wa bei zetu kwani sisi hatuuzi kwa tamaa kama wengine hivyo usikubali kupigwa tena na kupoteza pesa zako nyingi kwenye manunuzi ya electronics
.
sisi tutakuuzia kwa bei ndogo, tunazo bidhaa zote brand zote tupigie kabla hujanunua chochote kwa wenye tamaa tukupe bei zetu nafuu ulinganishe na zao ili uone utofauti
.
tuko kariakoo karibu na kanisa la kkkt