Kasi ya Hatari (4800MHz): Inafanya kazi kwa haraka sana ukilinganisha na RAM za zamani za DDR4.
Chapa Bora na Halisi: Tunazo chapa za kuaminika za Samsung na ADATA.
Uokoaji wa Umeme: Inatumia 1.1V pekee, hivyo inasaidia betri ya laptop yako kudumu zaidi.
Inafaa kwa: Laptop zote mpya za kisasa zinazotumia DDR5 RAM.